Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2021

Uchunguzi wa Afya kwa Vijana na Watoto Klasta ya Tabora (Health Screening)

Z oezi la upimaji afya za walengwa (Health Screening) likiendelea katika  vituo vilivyo ndani ya Klasta ya Tabora Daktari akiwa katika zozi la upimaji wa afya kwa vijana Mtaalamu wa Afya akichukua maelezo ya mlengwa Mtaalamu wa Afya akichukua maelezo ya mlengwa Watendakazi wakiwa pamoja na wataalamu wa Afya katika zoezi la uchunguzi wa Afya za walengwa