Mwezi january 2022 Mwezeshaji wa Klasta ya Tabora Janeth Shayo alitembelea vitu kadhaa vya Klasta ya Tabora kwa ajili ya kuwezesha katika zoezi la Tathimini (PRDT) Picha hapa chini inaonyesha Mwezeshaji akiwa katika Moja ya Kituo wakati wa Ziara yake Mwezeshaji wa Klasta ya Tabora Janeth Shayo akifurahi pamoja na watoto Mwezeshaji wa Klasta ya Tabora Janeth Shayo akiwa katika moja ya vikao vya PRDT Mwezeshaji wa Klasta ya Tabora Janeth Shayo akiwa katika uwezeshaji Mwezeshaji wa Klasta ya Tabora Janeth Shayo akiwa katika uwezeshaji